Posted on: August 26th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buchosa Deogratias Lihengelimo leo tarehe 26 Agosti, 2025 amemkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.Er...
Posted on: August 25th, 2025
Wagombea watatu kutoka vyama vya CHAUMMA, ADC na ACT Wazalendo wamejitokeza leo Jumatatu kuchukua fomu za uteuzi wa kugombea ubunge katika jimbo la Buchosa.
Wagombea hao Faustine Precide...
Posted on: August 20th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buchosa Bw.Deogratius Lihengelimo amekabidhi fomu za Uteuzi wagombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Makini na Chama cha Sauti ya Umma (SAU).
Aidha...