Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buchosa Deogratias Lihengelimo leo tarehe 26 Agosti, 2025 amemkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.Erick Shigongo.
"Kura yako Haki yako Jitokeze kupiga Kura"
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa