Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Suleiman Jaffo ametembela Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa na kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.
Katika ziara hii Mhe Suleiman Jaffo amepata pia wasaa wa kuzungumzaa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa na amewataka watendaji wa serikali za mitaa kuanza kuwajibika ipasavyo.
Katika hatua nyingine alipongeza juhudi zinazofanywa na Halmashauri kwa jithada wanazo zifanya za kutekeleza miradi ya maendeleo hususani upande wa Afya na Elimu.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa