• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Waziri Mkuu Apongeza Mradi wa jengo la Utawala,Aweka jiwe la msingi

Posted on: May 19th, 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) leo 19, Mei 2025 ameweka jiwe la Msingi kwenye jengo la Utawala la Halmashauri ya Buchosa ambalo liko katika hatua ya ukamilishaji,fedha shilingi Bilioni 4.3 zimepokelewa kwa awamu tofauti kakamilisha ujenzi wa jengo hilo.


Katika ziara hiyo Waziri Mkuu amekutana na kuongea na wananchi wa Kata Nyehunge na maeneo jirani ambapo amesema kwamba Serikali kazi yake ni kuwahudumia na kuwatumika wananchi katika kutekeleza shughuli mbalimbali miradi ya maendeleo.

“Leo nimeenda kuweka jiwe la msingi kwenye jengo letu ni jengo lililokamilika zaidi ya asilimia 80 bado maboresho madogo madogo kuwekwa vizuri ili lije kuzinduliwa rasmi” Mhe.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa.

Katika hatua nyingine Mheshimiwa Majaliwa amewataka wazazi kupeleka Watoto wao vyuo vya Michezo. VETA, ili wapate ujuzi ambao utawasaidia kupata utaalamu mbalimbali ukiwemo utalaam wa michezo.

Amesema Serikali itaendelea kuleta fedha kujenga miundombinu ya madarasa ili kuondoa msongano kwenye shule zenye wanafunzi wengi, pamoja na kujenga mabweni na nyumba za Walimu.

Aidha ameeleza na kufafanua kwamba Serikali imeanza kutoa vibali vya ajira mbali mbali ikiwemo sekta ya Elimu na Afya lakini pia Serikali itaendelea kujenga Zahanati Pamoja na Vituo vya Afya maeneo yenye upungufu.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA UMMA MAELEKEZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 26, 2024
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA(BVR)-2024 August 02, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA July 17, 2024
  • TANGAZO LESENI ZA BIASHARA 2024 July 10, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waziri Mkuu Apongeza Mradi wa jengo la Utawala,Aweka jiwe la msingi

    May 19, 2025
  • Halmashauri ya Buchosa yapongezwa kwa kupata Hati safi

    April 28, 2025
  • Halmashauri ya Buchosa yapongezwa kupata Hati safi

    April 28, 2025
  • DC Ngaga asisitiza Mahusiano mazuri kazini Buchosa

    April 03, 2025
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa