• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba afanya ziara kijiji cha Luharanyonga na Itumbili.

Posted on: December 31st, 2017

Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba afanya ziara kijiji cha Luharanyona kata ya Luharanyonga pamoja na Itumbili katika kata ya Nyakaliro na kufanya mkutano wa hadhara katika vijiji hivyo ambapo ametoa mifuko ya saruji 100 pamoja na mabati 250 katika kijiji cha Luharanyonga kwa ajili ya ukamilishaji wa nyumba mbili za watumishi, zahanati pamoja na madarasa katika shule ya Msingi Luharanyonga.

Katika ziara hiyo Mhe Dkt Charles Tizeba alipata wasaa wa kuzungumza na wananachi waliojitokeza katika mikutano hiyo na kujibu maswali mbalimbali.

Mbali na na kujibu maswali Mhe Dkt Charles Tizeba,MB ambae pia ni waziri wa Kilimo aliwakumbusha wananchi kutumia dawa kwa usahihi kwa ajili ya kukinga mazao na kuachana na Tabia ya Kufanya shughuli za kibinadamu ikiwa ni pamoja na kilimo karibu na vyanzo vya maji.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI November 27, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA AJIRA HALMASHAURI YA BUCHOSA November 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MUDA YA UCHAGUZI November 20, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA October 13, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MENEJEMENTI BUCHOSA YANOLEWA UADAAJI MPANGO MKAKATI

    January 15, 2026
  • KATIBU TAWALA SENGEREMA AHIMIZA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE BUCHOSA

    January 05, 2026
  • MADIWANI BUCHOSA WAAPISHWA, RASMI KUANZA MAJUKUMU YA KUWATUMIKIA WANANCHI

    December 04, 2025
  • DED MIHAYO AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA BIDII,KUDUMISHA AMANI

    November 28, 2025
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa