Timu Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Bw.Benson Mihayo leo tarehe 29,Agosti,2025 imefika Kata ya Nyakaliro kupokea Boti tatu za kisasa ambazo zitatumika kufanya doria kudhibiti uvuvi haramu pamoja na ukusanyaji wa mapato.
Aidha Halmashauri ya Buchosa ilipokea fedha kiasi cha shilingi Milioni 400 kwa ajili ya kutengeneza boti tatu kwa lengo la kufanya doria na shughuli za uvuvi.


Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa