Halamshauri ya Wilaya ya Buchosa ipo katika ukanda unaopata mvua nyingi kwa mwaka hivyo kupelekea kuwa sehemu nzuri kwa uwekezaji wa shughuli za kiuchumi hasa kilimo. Halmashauri imegawanyika katika kanda mbili ambazo ni Kahunda na Buchosa. Ukanda wa kahunda ulima sana mazao ya maindi, maharage, alizeti, kahawa pamoaja na aina mbalimbali za mbogamboga kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwa kwa kibiashara pia. Na kwa ukanda wa Buchosa watu wengi ulima mpunga, mahindai, mihogo, mboga mboga na aina mbali mbali ya matunda.
Pia watu wengi wanaoishi katika kanda ya Buchosa na Kahuna pia hujihusiha na Ufugaji wa mifugo mbalimbali kama ngombe, mbuzi, kuku, bata na Kondoo..
|
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa