Mhe:Mkuu wa Wilaya ya Sengerema amesema Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka eneo la Mchangani katika visiwa vya Kome.Hivyo alitoa maelekezo kwa viongozi wote wa maeneo hayo kusimamia usafi nyumba hadi nyuma na kuhakikisha kanuni za Afya zinafuatwa ikiwa ni pamoja na
Kunawa mikono kabla ya chakula na baada ya kutoka chooni,Kuosha mboga na matunda vizuri kabla ya kula,Kuepuka kujisaidia ovyo,Kuchemsha maji ya kunywa,Kufunika chakula kuepuka kupata maambukizi na kuepuka kula chakula cha baridi hivyo matunda ambayo yameandaliwa na kuuzwa barabarani yamepigwa marufuku.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa