KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO(TEHAMA)
Kitengo kinasimamiwa na Edward A. Mwasakafyuka
Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina lengo la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Hamashuri ya Wilaya ya Shinyanga.
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Usimamizi Wa Mifumo Ya Kompyuta(SystemAdministration)
Usimamizi Wa Mtandao Wa Kompyuta pamoja Na Vifaa Vyake (Network And HardwareAdminstration).
Usimamizi Wa Benki Ya Takwimu(DatabaseAdministration)
Usimamizi wa tovuti na barua pepe (websiteadministration & emails).
Kutekeleza sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
Kuandaa mahitaji katika Ununuziwa vifaa vya TEHAMA.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0625826705
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa