• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

TCRA YATOA MCHANGO WA VIFAA VYA TEHAMA

Posted on: January 9th, 2020

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mchango wa vifaa vya mawasiliano katika Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa ikiwa ni majibu ya maombi ya Shule ya Msingi Isaka iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Vifaa vilivotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanznaia (TCRA) ni kama ifuatavyo:-

  • Kompyuta kumi (10) za mezani kwa ajili ya kujifunza na kufundishia somo la Tehama na pia kwa ajili ya kuandaa mitihani ya wanafunzi
  • Printer kubwa (Heavy Duty) yenye scanner kwa ajili ya matumizi ya ofisi katika kuandaa mitiani na shughuli zingine za kiofisi.
  • Pamoja na Screen moja(1) na kisimbuzi chake kwa ajili ya kufundishia matamshi na usomaji kwa wanafunzi wa darasa la kwanza, la pili na elimu ya awali na kupata taarifa mbalimbali za elimu kupitia vyombo vya habari.

Hafla ya makabidhiano imefanyika katika shule ya Msingi Isaka ambapo Mhandisi Francis Mihayo , Mkuu wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania kanda ya Ziwa alikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Mhandisi Francis F. Mihayo (Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Ziwa).

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, Crispin Luanda amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya Ziwa kwa mchango wao wa ufadhili wa vifaa vya TEHAMA kwa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa na kumuomba amfikishie salama za shukrani kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Mhandisi James Kilaba.

Matangazo

  • AJIRA MPYA KADA YA AFYA NA ELIMU July 02, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 23, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II NA KATIBU MAHSUSI III May 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BUCHOSA YAPOKEA VIFAA VYA KAZI

    May 05, 2021
  • WAZIRI SELEMAN JAFO ATEMBELEA BUCHOSA

    January 05, 2021
  • TCRA YATOA MCHANGO WA VIFAA VYA TEHAMA

    January 09, 2020
  • Hatimaye kituo cha Afya Kome wafanya upasuaji wa kwanza

    December 13, 2019
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Madiwani
  • Watumishi Portal
  • OPRAS

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitiani
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 028 2590162

    Simu ya kiganjani: 0684291102

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa