• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WAZIRI SELEMAN JAFO ATEMBELEA BUCHOSA

Posted on: January 5th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo, ameipongeza Halmashauri ya Buchosa kwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa jengo jipya la Halmashauri lenye ghorofa moja na Hospitali ya Wilaya ya Buchosa iliyopo kijiji cha Isaka kata ya Nyehunge.


Amesema ujenzi katika ujenzi wa Hospitali za wilaya tisini na tisa (99) nchi nzima Halmashauri ya Wilaya ya  Buchosa inaongoza kwa kujenga majengo yenye viwango vinavyoendana na thamani ya fedha zilizotolewa na serikali.

Aidha, katika ziara hiyo, Jafo amezungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa na kuwataka wafanye kazi kwa ushirikiano na kuacha tabia ya kugombana  nawafanye kazi kwa pamoja ili kuongeza tija na ufanisi katika kazi zao.

Katika ziara yake, Mhe. Jafo aliongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe John Mongela, na kupokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, Crispin Luanda.

Matangazo

  • AJIRA MPYA KADA YA AFYA NA ELIMU July 02, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 23, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II NA KATIBU MAHSUSI III May 11, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BUCHOSA YAPOKEA VIFAA VYA KAZI

    May 05, 2021
  • WAZIRI SELEMAN JAFO ATEMBELEA BUCHOSA

    January 05, 2021
  • TCRA YATOA MCHANGO WA VIFAA VYA TEHAMA

    January 09, 2020
  • Hatimaye kituo cha Afya Kome wafanya upasuaji wa kwanza

    December 13, 2019
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Madiwani
  • Watumishi Portal
  • OPRAS

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitiani
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 028 2590162

    Simu ya kiganjani: 0684291102

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa