• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Kumiliki wa ardhi

UMILIKI WA ARDHI

Utaratibu wa utoaji wa miliki – Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

 

1.Mahitaji ya umilikishaji wa miliki mhusika/mwombaji miliki anatakiwa awe na vitu vifuatavyo:

 

• Ramani ya eneo husika.

• Uraia.

• Mkataba wa mauziano/uthibitisho toka kwa mwenyekiti wa Serikali ya kijiji/kitongoji kama alimilikishwa kienyeji.

• Aandike barua ya maombi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri  ikipitia kwa Afisa Mtendaji wa Kata kilipo kiwanja hicho na kwa mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho.

• Muombaji/mhusika atajaza mbalimbali atakazo pewa.

2.UMILIKISHWAJI

 

(A)   Umilikishwaji wa “Allocation Letter” (miliki).

 

Utaratibu wa kuandaliwa “Allocation Letter unafuata baada ya mhitaji kukamilisha mahitaji yote ya umilikishwaji. Utaratibu huo ni:-

 

 

• Kufungulishwa file la kiwanja hicho.

• Matumizi ya kiwanja hicho kutolewa na Afisa Mipango Miji.

• Makadirio ya kodi ya ardhi kuandaliwa na mthamini.

• Maandalizi ya “Allocation Letter” yanakamilishwa.

(B)   Utoaji wa Hati miliki

 

Utoaji wa Hati hufanyika baada ya kuandaliwa “Allocation Letter”. Iwapo hakutakuwa na allocation letter hati haiwezi kuandaliwa. Utaratibu wa kuandaa hati ni kama ifuatavyo:-

 

• Ushuhuda wa malipo ambayo huandaliwa baada ya mhitaji/mmiliki kulipia ada za Serikali zilizoainishwa kwenye “Allocation Letter”.

• Maombi ya ramani na maandalizi ya ramani hufanyika (Request for Deed Plan).

• Mpima huandaa Ramani za Hati na kuzipitisha .

• Maandalizi ya Hati miliki yanafanyika.

• Mhusika anasaini Hati miliki kwa kushuhudiwa na wakili au Mwanasheria.

• Maafisa Ardhi Huandaa Historia ya kiwanja hicho, na kupeleka kwa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya saini na usajili.

• Mhusika hufuata Hati yake kwa msajili wizara ya ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

LESENI ZA MAKAZI


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • UHAMISHO WA WATUMISHI July 09, 2018
  • KUITWA KWENYE USAILI May 31, 2018
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 15, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WAZIRI SELEMAN JAFO ATEMBELEA BUCHOSA

    January 05, 2021
  • TCRA YATOA MCHANGO WA VIFAA VYA TEHAMA

    January 09, 2020
  • Hatimaye kituo cha Afya Kome wafanya upasuaji wa kwanza

    December 13, 2019
  • Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa yapewa Majokofu yanayotumia Nishati ya Jua

    November 30, 2019
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Madiwani
  • Watumishi Portal
  • OPRAS

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitiani
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 028 2590162

    Simu ya kiganjani: 0684291102

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa