• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI TAMISEMI, GEORGE SIMBACHAWENE ATEMBELEA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA LEO

Posted on: June 2nd, 2017

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, Crispin M.Luanda  baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari Nyehunge.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Buchosa waliojitokeza kumpokea alipowasili. Anaesalimiana nae ni Kaimu Afisa Elimu Sekondari, Benjamin Sperito.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akisaini kitabu cha wageni leo,kulia kwa Waziri ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Emmanuel Kipole.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo katika Halmashauri ya Buchosa kwa Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella akimkaribisha Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene akuzungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simba chawene akizungumza na wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene  akiambatana Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Madarasa na Mabweni ya wanafunzi katika shule ya Sekondari Nyehunge.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akiendelea na ukaguzi  katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua  maendeleo ya ujenzi wa Madarasa na Mabweni.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akikagua ujenzi wa Maabara na uwekaji wa dhamani na vifaa vya maabara.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akitoa maelekezo kwa mkuu wa shule ya Sekonari Nyehunge.

Diwani kata ya Nyehunge, Charles Mbogo akimshukuru Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene kwa kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akizungumza na walimu wa shule ya sekondari Nyehunge baada ya kuhitimisha ukaguzi  wa ujenzi wa Madarasa na Mabweni.




Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA UMMA October 13, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA ASILIMIA 10 October 01, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA 2025 September 17, 2025
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA September 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • JITOKEZE KUPIGA KURA TAREHE 29 OKTOBA 2025

    October 05, 2025
  • WATHIBITI UBORA WA SHULE WAPATIWA MAFUNZO BUCHOSA

    September 30, 2025
  • DC NGANGA AWATAKA WATENDAJI WA KATA KUONGEZA JUHUDI UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 17, 2025
  • BOTI TATU ZA THAMANI YA MILIONI 400 ZA POKELEWA BUCHOSA

    August 29, 2025
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa