• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa yashiriki Maandalizi ya Mpango wa Bajeti 2018/2019 Mkoani Mwanza

Posted on: February 2nd, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, imeandaa mpango wa Bajeti na utoaji taarifa (Planrep) na kuuwasilisha mkoani Mwanza kwa ajili ya mapitio kwa kutumia mfumo wa Planrep iliyoboreshwa.

Akizungumza wakati wa uaandaaji wa bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, Bahati Kahindi ambae ni Mchumi katika Halmashauri ya Wilaya Buchosa amesema "mfumo huu ulioboreshwa umerahisisha utendaji kazi na kupunguza gharama iliyokuwa ikitumika awali".

Mfumo wa Planrep iliyoboreshwa umeandaliwa katika ubora kwa kuzingatia changamoto zilizokuwepo awali kwa lengo la kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kazi za Serikali.

......

Aliyesimama, Bahati Kahindi  akitoa msaada wa uandaaji wa bajeti kutumia mfumo wa Planrep iliyoboreshwa. Kulia Aminiel John afisa Kilimo na kushoto ni  Magembe Makalanga Mhandisi wa Maji katika ukumbi Mkubwa wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA UMMA October 13, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA ASILIMIA 10 October 01, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA 2025 September 17, 2025
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA September 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • JITOKEZE KUPIGA KURA TAREHE 29 OKTOBA 2025

    October 05, 2025
  • WATHIBITI UBORA WA SHULE WAPATIWA MAFUNZO BUCHOSA

    September 30, 2025
  • DC NGANGA AWATAKA WATENDAJI WA KATA KUONGEZA JUHUDI UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 17, 2025
  • BOTI TATU ZA THAMANI YA MILIONI 400 ZA POKELEWA BUCHOSA

    August 29, 2025
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa