• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe |
Buchosa District Council
Buchosa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Misitu
    • Biashara
    • Ushirika
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Telesenta
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi idhinishwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Halmashauri ya Buchosa yapongezwa kupata Hati safi

Posted on: April 28th, 2025

Halmashauri ya Wilaya Buchosa imeendelea kujipatia Hati safi kwa Miaka miwili mfululizo, katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya sita, Pamoja na usimamizi thabiti wa ukusanyaji wa mapato. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Maximillian Mkungu ambaye anakiri licha ya mafanikio waliyoyapata chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Mhe.Idama Kibanzi yapo mambo ambayo hawezi kuyasahau yakiwemo yale ya kimaendeleo katika Halmashauri ya Wilaya Buchosa, ambayo kimsingi ni hatua kubwa kulinganisha na kipindi walipoingia katika madaraka hayo.

Akitaja baadhi ya mafanikio hayo Makamu Mwenyekiti  ambaye pia ni Diwani Kata Katwe amesema kuwa Halmshauri hiyo imepata Hati safi kwa miaka miwili, ambapo amesisitiza kwamba ni Ushirikiano baina ya Viongozi Mkurugenzi Mtendaji ,wakuu wa idara na vitengo, Madiwani pamoja Mhe.Mbunge wa Jimbo la Buchosa.

“Kupata hati safi,siyo kwamba ni Waheshimiwa Madiwani tu,bali ni mshikamano uliopo ndani ya Halmashauri yetu,Waheshimiwa madiwani,Watumishi na Wananchi kwa ujumla ambao wanatuunga mkono katika shughuli za maendeleo” amesema Makamu Mwenyekiti Mhe.Mkungu.

Usimamizi na ufanikishaji wa miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa, miundombinu ya Barabara,Maji na huduma za afya, Usimamizi wa Mifuko mbalimbali ya Fedha, lakini kubwa zaidi likiwa ni suala la ukusanyaji mapato ndani ya Halmshauri kutoka katika vyanzo vya mapato.

Katika baraza hilo la Madiwani wageni waalikwa mbalimbali waliweza kuhudhuria ikiwa ni pamoja na Wakuu wa taasisi,Vyama vya siasa,viongozi wa dini,waandishi wa Habari na waatalamu kutoka makao makuu.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA UMMA October 13, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA ASILIMIA 10 October 01, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA 2025 September 17, 2025
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA September 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • JITOKEZE KUPIGA KURA TAREHE 29 OKTOBA 2025

    October 05, 2025
  • WATHIBITI UBORA WA SHULE WAPATIWA MAFUNZO BUCHOSA

    September 30, 2025
  • DC NGANGA AWATAKA WATENDAJI WA KATA KUONGEZA JUHUDI UPATIKANAJI WA CHAKULA SHULENI

    September 17, 2025
  • BOTI TATU ZA THAMANI YA MILIONI 400 ZA POKELEWA BUCHOSA

    August 29, 2025
  • Angalia zote

Video

UTOAJI WA MIKOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA BUCHOSA
Video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Baraza la Madiwani
  • Mpango Mkakati Wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Mkoa wa Mwanza
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
  • Wizara ya Kilimo

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Buchosa District Council

    Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA

    Simu: 0759941297

    Simu ya kiganjani: 0765029662

    Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa