Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi ya uuguzi, utabibu na maabara kuwa usaili kwa waombaji waliokidhi vigezo utafanyika kuanzia tarehe 6/6/2018 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Waweza kupakua KUITWA KWENYE USAILI BUCHOSA.pdf kuona orodha ya waombaji walioitwa kwa ajili ya usahili.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa