Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi ya Mtendaji wa kijiji daraja III kuwa usaili kwa waombaji waliokidhi vigezo utafanyika kuanzia tarehe 21/05/2018 na 22/05/2018 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Kupata taarifa zaidi bofya hapa.pdf. Bofya orodha ya wasahiliwa.pdf kupata orodha ya waombaji waliokidhi vigezo.
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0759941297
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa