A.UTANGULIZI
Idara ya Ujenzi ni mojawapo ya idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa, inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria ya uanzishwaji wa serikali za mitaa, Tanzania. Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Mitambo na Umeme
B.MAJUKUMU YA IDARA
1.Kusimamia matengenezo ya majengo yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa
2.Kusimamia matengezo ya magari ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa
3.Kufanya tathimini ya miundombinu ya barabara za Halmashauri ya Wilaya, Buchosa na kufanya makadirio ya gharama za matengenezo
4.Kusimamia wakandarasi wote wanaofanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa
Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Karakana
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0625826705
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa