UTANGULIZI
Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-
Mipango
Takwimu
Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)
KAZI ZA IDARA
Buchosa District Council
Anuani: 44 Buchosa - SENGEREMA
Simu: 0625826705
Simu ya kiganjani: 0765029662
Barua pepe: ded@buchosadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Hamlashauri ya Wilaya ya Buchosa. Haki zote zimehifadhiwa