Posted on: May 5th, 2021
Kamishna wa Ardhi, Elia Kamihanda amekabidhi vifaa wezeshi katika utendaji kazi kwa Idara ya Ardhi na Maliasili leo katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.
...
Posted on: January 5th, 2021
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo, ameipongeza Halmashauri ya Buchosa kwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa jengo jipya la Halmashauri ...